Je, OEO ni nini?

Pata Usaidizi Wetu

Pata Usaidizi Wetu:

Black and White Icon of electronic device sending message. Created by Priyanka from Noun Project Mtandaoni – Tunakuhimiza utumie Mchakato wetu mpya wa Kujiandikisha Mtandaoni. Utahitaji kufungua akaunti kwa kutumia jina lako na anwani sahihi ya barua pepe. Baada ya kufungua akaunti na kukamilisha mchakato wa kujiandikisha mtandaoni, mtu fulani atawasiliana nawe haraka iwezekanavyo ili kukupa maelezo au kuratibu miadi. Mchakato wetu wa kujiandikisha mtandaoni unapatikana kila wakati, lakini mtu fulani atafuatilia wakati wa saa za kawaida za kazi.

Saa za Kazi

  • Jumatatu saa 3:30 asubuhi hadi saa 12:00 jioni (9:30 a.m. – 5:30 p.m.)

  • Jumanne saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni (8:00 a.m. – 6:00 p.m.)
  • Jumatano saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni (8:00 a.m. – 6:00 p.m.)
  • Alhamisi saa 3:30 asubuhi hadi saa 12:00 jioni (9:30 a.m. – 5:30 p.m.)
  • Ijumaa: uandikishaji wa mtandaoni, faksi au barua pepe pekee

Black and white icon of mobile phone making a call. Created by Thays Malcher from Noun Project.Kwa Simu – Ikiwa unapendelea kuzungumza na mtu ana kwa ana au unahitaji usaidizi wa kukamilisha mchakato wa kujiandikisha mtandaoni, tafadhali tupigie simu kwa nambari ya simu isiyolipishwa 1-866-297-2597 wakati wa saa zetu za kazi za Jumatatu hadi Ijumaa. Wafanyakazi wetu wanaweza kufikia huduma za ukalimani wa simu kwa zaidi ya lugha 150.

Black and white icon of envelope with two papers inside. The first paper has the "at" email icon. The second paper has lines for writing a letter. Created by Anang Taufik from Noun Project.Kwa Faksi au kwa Barua – Pakua fomu ya Kuomba Huduma za Wapelelezi wa Malalamiko ya Wananchi (Ombuds) na uwasilishe fomu iliyojazwa kwa njia ya faksi, barua au barua pepe (maelezo ya mawasiliano yamechapishwa kwenye fomu) kwa OEO. Faksi: 1-844-886-5196

Habari na Matukio

Mahudhurio na Utoro wakati wa COVID

Shule zinarekodi mahudhurio wakati wa masomo ya mtandaoniShule zinarekodi mahudhurio wakati wa masomo ya mbali.  Wasiliana na shule ikiwa mtoto wako alishiriki katika masomo ya mbali, hata ikiwa halikuwa darasa la moja kwa moja na hudhani shule inajua.  Ikiwa mtoto wako hakuweza kushiriki kwa sababu ya matatizo yanayohusiana na COVID-19, wasiliana na shule ili kutoa sababu ya kutokuwepo kwake.

Ikiwa mtoto wako amekosa kuhudhuria bila sababu, shule inapaswa kuwasiliana nawe ili kuelewa sababu na kusaidia kuangazia vizingiti vya masomo.  

Kadi ya Vidokezo vya Ukalimani Ilitafsiriwa kwa:

Arabic_بطاقة نصائح الترجمة الفورية_Interpretation_Support_Tips_Card

Chinese_Simplified_口译提示卡_Interpretation_Support_Tip_Card

Chinese_Traditional_口譯貼士卡片_Interpretation_Support_Tip_Card

Korean_통역 도우미 카드_Interpretation_Support_Tip_Card

Russian_Карта_с_подсказками_при_устном_переводе_Interpretation_Support_Tips_Card

Somali_Kaarka_Tilmaamaha_Turjumaada_Interpretation_Support_Tips_Card

Spanish_Consejos_de_Interpretación_Interpretation_Support_Tips_Card

Tagalog_Kard_ng_mga_Tip_sa_Pagsasalin_Interpretation_Support_Tips_Card

Vietnamese_Thẻ_Lời_khuyên_phiên_dịch_Interpretation_Support_Tips_Card

Moja Kati ya Tano: Historia ya Ulemavu na Mradi wa Fahari

Muhtasari wa Mradi

Video za Sauti za Wanafunzi

Nyenzo za mtaala na ufundishaji

Mikutano ya Mtandaoni na Matukio Yajayo

Jisajili kwa Taarifa zetu Rasmi za HabariGovDelivery signup

Je, tatizo lako kuhusu elimu ya K-12 ni gani?

Select a topic above to find resources and next steps.